Doesn't suit? No problem! You can return items for up to 30 days
You won't go wrong with a gift voucher. The gift recipient can choose anything from our offer.
Up to 30 days for returns
Mukhtasari wa Kitabu:
Kitabu hiki chaeleza umuhimu wa kufanya wema, na maelekeo ya tama na umuhimu wa familia. Kinafundisha maandishi haya yaliokuwa kitabuni....
Kuchukuwa sifa ya kazi ya mwengine ni dhambi,
Kudanganya na kunyakuwa vitu vya wengine ni dhambi,
Kunywa tembo ya mnazi peke yake ukikuzubaa siku nzima ni dhambi